MANCHESTER UNITED WAANZA KUMNYATIA SAMWEL UMTITI
Beki mstaarabu na mtulivu awapo uwanjani wa Barcelona Samwel Umtiti ameanza kudai nyongeza ya mshahara na kutaka mara mbili ya anacholipwa sasa lakini uongozi wa Barcelona umeonekana kulegalega kwenye maamuzi na kutoa mwanya kwa club ya premier League ya Manchester United kuanza kufanya mazungumzo na mwanasoka huyo juu ya kumsajili mnamo kipindi cha majira ya joto.
Brings You Global News!
Comments