PAUL POGBA NA OUSMANE DEMBELE WAKUTANA NA UBAGUZI WA RANGI HUKO ST PETERSBURG RUSSIA
FIFA bado wanafanya uchunguzi kuhusu tuhuma zinazowakabili mashabiki wa soka wa Urusi baada ya kudaiwa kuwaita Paul Pogba na Ousmane dembele nyani wakati wa mchezo wa kirafiki wa kimataifa kati ya Ufaransa dhidi ya Urusi ulioisha kwa Urusi kuchapwa magoli 3-1. FIFA bado wanaendelea kukusanya taarifa kutoka kwa wasimamizi mbalimbali wa mchezo huo kabla hawajatoa maamuzi.
#AbelRkayUpdatea
Comments