Brings You Global News!
Brings You Global News!
Bari la polisi lililokuwa likitokea Dodoma lililobeba askari waliokuwa kwenye parade limepata ajali Morogoro Mikese Maseyu baada ya kugongana na Noah. Inasemekana askari sita wamejeruhiwa vibaya na watu wawili waliokuwa ndani ya noah wamekufa papo hapo.
Mungu awalaze mahali pema peponi. Amina!
Comments