FA CUP FINAL FT: CHELSEA 1-0 MANCHESTER UNITED
- Eden Hazard anatulia vizuri na kufunga penati dakika ya 22 baada ya kichezewa faulo na Phil Jones
- Phil Jones anazawadiwa yellow card kwa kumchezea vibaga Hazard baada ya kuzidiwa mbio na kushindwa kumzuia
- Chelsea wanatwaa ubingwa wa FA Cup 2017-2018 kwa kuwachapa Man United kwenye dimba la Wembley
Brings You Global News!
Comments