FA CUP FINAL: MANCHESTER UNITED FC vs CHELSEA FC
- Manchester United kukabiliana na Chelsea kwenye fainali za 137 za FA Cup leo Jumamosi usiku.
- Timu zote mbili zikijaribu kujiokoa kwa kumaliza msimu angalao na kombe moja ukizingatia kutokuwa na msimu mzuri hasa kwa Chelsea ambao wameshindwa kupenya Top 4 wakimaliza ligi nafasi ya 5.
- Kwa upande wa Jose Mourinho na Man United wanatazamia wanaonekana kuwa na nafasi nzuri zaidi ya kushinda FA Cup.
- Yote kwa yote ni ama Mourinho au Conte kuibuka bingwa mpya wa FA cup.
Wewe unaipa timu gani ushindi?
Comments