Manchester United 1-0 Watford
- Man United wamaliza msimu kww ushindi, Marcus Rashford akifunga goli pekee huku Michael.Carrick akiagwa rasmi ikiwa ni mechi yake ya mwisho.
- Man United waliongoza kwa goli huku Michael Carrick na Juan Mata wakishirikiana na mpira kumfikia Marcus Rashford aliyeipatia United goli pekee.
- Sergio Romero akiokoa mpira wa kichwa uliopigwa na Richarlson.
- Mashabiki walipiga makofi wakiwa wamesimama wakiimba wimbo "stand up for Sir Alex Ferguson."
- Michael Carrick akishangiliwa alipokuwa akitoka baada ya kucheza mechi yake ga mwisho kabla ya kustaafu.
Brings You Global News!
Comments