Brings You Global News!
Brings You Global News!
NEWCASTLE 3-0 CHELSEA. PICHA ZA KUTOSHA ZA MECHI HII.
- Dwight Gayle na Ayoze Perez wanaipatia Newcastle ushindi mnono dhidi ya wanyonge Chelsea.
- Matumaini ya Chelsea kumaliza top 4 yayeyuka aka Yaota mbawa aka imebaki ndoto.
- Chelsea kushiriki Champions League kwa macho msimu ujao.
Comments