World cup 2018 Russia: Japan Yawashangaza Colombia. FT: Japan 2-1
-Japan wamekuwa wa kwanza kwa Assia kushinda taifa toka Amerika ya Kusini kwenye michuano ya kombe la dunia.
-Hili ni kombe la dunia la kwanza ambapo mataifa manne toka Amerika ya kusini yameshindwa kushinda mechi zao za ufunguzi tangu mwaka 1974.
-Colombia wakiwa pungufu wakajikuta wanakula kichapo toma kwa Wajapan na kuwafanya wasiamini kilichotokea.
Comments