KOMBE LA DUNIA 2018. MAMBO YAMENOGA KWA SENEGAL
World Cup 2018. Poland 1-2 Senegal. Hatimaye Taifa la Senegal lawatoa kimasomaso waafrika kwa ushundi leo.
Huku Robert Lewandowski akikutana uso kwa uso na Sadio Mane.
Idrissa Gueye anaachia shuti linalomgonga beki wa Poland na mpira
kuzama nyavuni huku kipa asijue la kufanya.
M'baye Niang anainasa pasi ya nyuma ya beki wa Poland na kumtoka kipa na kuusindikiza mpira nyavuni kiulani na kuandika bao la 2 kwa Senegal.
Grzegorz anaunganisha krosi kwa kichwa na kuipatia Poland bao la kufutia machozi.
Comments