Kombe la Dunia 2018. Misri Hoi kwa Warusi
Mambo Ovyo kwa Misri. Ussia 3-1 Misri. Mo Salah bado dhaifu japo kapambana.
-Hii ni mara ya kwanza kwa Urusi kushinda mechi mbili mfululizo kwenye ufunguzi wa mashindano ya kombe la dunia tangu mwaka 1966 wakati huo ikiwa Soviet Union.
-Sasa Urusi wamefikisha magoli 8 katika mechi mbili na wakiwa vinara na pointi zao 6 katika kundi lao.
Comments