Skip to main content

Posts

Showing posts from July, 2018

2018 FIFA World Cup Final. France 4 - 2 Croatia

2018 World Cup Final. France 4-2 Croatia - Ufaransa wameshinda Kombe la Dunia kwa Mara ya pili kwa ushindi mnoni baada ya kuwapiga bila hueuma Croatia kwa 4-2 jijini Moscow. - Wavamizi wanne wavamia uwanja huku mwingine akikutana uso kwa uso na Kylian MbappĂ© na kuopeana nae Hi5. - Ufaransa walipata goli la mapema kunako dakika ya 18 tu baada ya kupigwa mpira wa adhabu na kumkuta Mario Mandzukic aliyejifunga kwa goli safi kabisa. - Dakika 10 baadae Perisic akaisawazishia Croatia.  - Lakini Ufaransa wakarudi tena na kupata goli la pili kwa njia ya penalty iliyopigwa na Antoine Griezmann baada ya Perisic kunawa mpira.  - Magoli ya Paul pogba na MbappĂ© yakaihakikishia Ufaransa ushindi kabla ya Mandzukic kufunga goli la pili kwa Croatia baada ya Lloris kufanya blunder na mpira kunaswa na mfungaji.  Hivyo FT: UFARANSA BUNGWA WA KOMBE LA DUNIA 2018 RUSSIA #Abelrkay

2018 FIFA WC RUSSIA. SWEDEN 0, ENGLAND 2. ENGLAND WATINGA NUSU FAINALI KIBABE

2018 FIFA WC RUSSIA. SWEDEN 0, ENGLAND 2. ENGLAND WATINGA NUSU FAINALI KIBABE England are into the WC Semi finals for the first time since 1990. Thanks to Harry Maguire and Dele Alli headers against Sweden.  Gareth Southgate's side now face hosts Russia or Croatia on Wednesday in Moscow's Luzhniki stadium for a place in next Sunday's Final.  Maguire rose highest to thump home Ashley Young first half cross. And Alli wa unmarked to turn home Jesse Lingard's cross against a Lacklustre Sweden in Samara.  England keeper Jordan Pickford pulled off three fantastic saves to keep Sweden out. First turning away a Marcus Berg header, then producing a low stop from Viktor Claesson and finally tipping Berg's shot over the bar.