2018 World Cup Final. France 4-2 Croatia
- Ufaransa wameshinda Kombe la Dunia kwa Mara ya pili kwa ushindi mnoni baada ya kuwapiga bila hueuma Croatia kwa 4-2 jijini Moscow.
- Wavamizi wanne wavamia uwanja huku mwingine akikutana uso kwa uso na Kylian Mbappé na kuopeana nae Hi5.
- Ufaransa walipata goli la mapema kunako dakika ya 18 tu baada ya kupigwa mpira wa adhabu na kumkuta Mario Mandzukic aliyejifunga kwa goli safi kabisa.
- Dakika 10 baadae Perisic akaisawazishia Croatia.
- Lakini Ufaransa wakarudi tena na kupata goli la pili kwa njia ya penalty iliyopigwa na Antoine Griezmann baada ya Perisic kunawa mpira.
- Magoli ya Paul pogba na Mbappé yakaihakikishia Ufaransa ushindi kabla ya Mandzukic kufunga goli la pili kwa Croatia baada ya Lloris kufanya blunder na mpira kunaswa na mfungaji.
Hivyo FT: UFARANSA BUNGWA WA KOMBE LA DUNIA 2018 RUSSIA
#Abelrkay
Comments