Epl side: Hatimaye Arsenal wapata ushindi wa kwanza. Arsenal 3-1 West Ham.
Hatimaye vijana wa Unai Emery wamepata ushindi wa kwanza kwenye Mechi ya Epl leo jioni baada ya mashuti toka kwa Nacho Monreal, Danny Welbeck na Issa Diop(la kujifunga) kuzama wavuni na kuleta ushindi kwa Arsenal kwenye London derby hiyo.
Lakini alikuwa ni Marko Arnautovic aliyewainua mashabiki wa West Ham baada ya kupiga shuti la chini lililomshinda Kipa Peter Cec na kuwafanya wageni hao wa Arsenal kupata goli pekee kwenye mechi hjiyo
Comments