EPL SIDE: MAN CITY WAFANYA KUFURU. FT: MAN CITY 6, HUDDERSFIELD 1. AGUERO APIGA HAT-TRICK
- Sergio Aguero akiuchop mpira alioupokea toka kwa Kipa wake Ederson na kuandika bao la kwanza.
- Dakika tano badae Man city wakapiga la 2 kupitia Gabriel Jesus na Aguero akapiga la tatu.
- Jon Stankovic akaipatia Huddersfield bao huku David Silva akiandika la tatu kwa man city kwa free kick maridadi sana.
- Aguero akaikamilisha hat trick kabla hajatolewa huku Leroy Sané akiimyanyasa ngome chovu ya Huddersfield na kuandika bao
Comments