JOSÉ MOURINHO KUWEKA KIBINDONI PAUNI MILIONI 12 ENDAPO ATATIMULIWA NA MAN UNITED
Meneja wa Manchester United José Mourinho ametajwa kama ataweza kuwa meneja wa kwanza kufukuzwa kazi kwenye Epl msimu huu, lakini Mreno huyo anaweza asilalamike endapo tukio hilo litatokea kwa kuwa package atakayoambulia si ya mchezo.
Kwa mujibu wa "The Sun", Mourinho anaweza kulipwa kiasi cha pauni milioni 12 kama atatemwa na United.
Comments