SERIE A SIDE: CHIEVO 2, JUVENTUS 3
GAME YA KWANZA KWA RONALDO IMEISHA KWA USHINDI KWA JUVENTUS.
- Juventus wame pata ushindi wao wa kwanza wa Serie A kwa urahisi wakiwa ugenini dhidi ya Chievo.
- Cristiano Ronaldo akipiga game yake ya kwanza huku akianza kama mshambuliaji wa mbele.
- Sami Khedira alifungua ukurasa wa magoli baada ya dakika tatu tu za !chezo kwa mpira uliotokana na free kick.
- Chievo wakapambana na hatimaye Mariusz Stepinski kufunga kwa kichwa. Wakarudi tena na kufunga kwa penati goli la pili na Emmanuele Giaccherini
- Leonardo Bonucci akaipatia Juve goli la kusawazisha na Federico Berardeschi akamalizia game kwa kuipatia Juve bao la tatu na la ushindi.
Wakati huohuo mashabiki nguli wa Juventus walisikika wakilalamika kwa nini Ronaldo hakufunga bao na wakaongeza kusema kuwa angekuwa amecheza dhidi yao angewafunga.
Comments