€70m + Gareth Bale + Toni Kroos = Paul Pogba
Manchester United wanatarajiwa kupata kiasi cha pauni milioni 70 pamoja na wachezaji wawili, Gareth Bale na Toni Kroos kutoka Madrid endapo watakubari ofa hiyo kwa kumwachia Paul Pogba aende Barnabeu. (Daily Express)
Manchester United will not only net a £70m transfer fee for Paul Pogba from Real Madrid but also get Gareth Bale and Toni Kroos in part-exchange. (Source: Daily Express)
Comments