Skip to main content

Posts

Showing posts from August, 2019

MANCHESTER UNITED WAWASAMBARATISHA WAGENI WAO CHELSEA FC WAWATANDIKA 4G OLD TRAFFORD

MANCHESTER UNITED WAWASAMBARATISHA WAGENI WAO CHELSEA FC WAWATANDIKA 4-0 OLD TRAFFORD Manchester United jana waliwashangaza Chelsea baada ya kuwagawia kichapo cha magoli 4-0 kwenye uwanja wao wa nyumbani Old Trafford. Mchezo wao huo ulikuwa ni wa ufunguzi kwao wa premier league ambao uliwakutanisha Ole Gunnar Solskjaer, aliyewahi kiwa mchezaji wa United miaka ya nyuma na sasa ni meneja wake na Frank Lampard naye aliwahi kuwa mchezaji wa Chelsea miaka ya hapo nyuma na sasa ni meneja wa the blues hao.  Malejendari hawa walikuwa wakitazamwa na macho ya mashabiki wengi katika mechi hii ili kuona nani angemtambia mwenzake na hatimaye OGS akaibuka kifua mbele kwa ushindi huo mnono.  Magoli ya Manchester United yalipachikwa na Marcus Rashford aliyefunga mawili, Anthony Martial akifunga moja na Daniel James, usajili mpya akifunga moja la nne. Solskjaer aliwachezesha watatu ambao ni usajili mpya ambao ni Harry Maguire center back aliyesajiliwa kitoka club ya Leicester city, Aaron Wan-B...