Kikongwe wa miaka 102 apona corona virus Genoa, Italia March 28, 2020 #ITVUPDATES:Italica Grondona mwanamke mwenye miaka 102 amepona ugonjwa wa Corona baada ya kukaa hospitali mjini Genoa nchini Italia kwa zaidi ya siku ishirini.#ItvTanzania #CNN Share Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Share Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Comments
Comments