MSTAHIKI MEYA MANISPAA YA IRINGA ANG’OLEWA MADARAKANI
Mkutano maalum wa Baraza la Madiwani Manispaa ya #Iringa umetanga kumuondoa madarakani Mstahiki Meya wa Manispaa hiyo #AlexKimbe, huku mwenyewe akisema mchakato huo haujafata taratibu hivyo ataendela kuwa Meya wa Manispaa hiyo.
Mkutano huo uliokuwa na wajumbe 26 uliamua kupiga kura. Kati ya kuta 26 zilizopigwa kura 12 zikiharibika na kura 14 zikipiga kura ya ndio kumtaka meya huyo aondoke madarakani.
Comments