Skip to main content

Visa vya maambukizi ya covid-19 Kenya

Kenya imethibitisha visa vingine 7 vya maambukizi ya virusi vya Corona na kufikisha idadi ya wagonjwa kuwa 38.

Waziri wa afya Mutahi Kagwe anasema kuwa katika wagonjwa hao, wanne ni wakenya, wawili ni raia wa Congo na raia mmoja ni wa China.

Credit: #ItvTanzania

Comments