Huu ni mpango madhubuti wa kuzuia kutembea ovyo kufuatia serikali kutoa tamko hilo ili kupambana na maambukizi ya corona virus aka Covid-19. Na hawa kwenye picha ni baadhi ya wananchi wlaiowekwa chini ya ulinzi kwa kosa la kukaidi amri hiyo huko Kenya.
Swali ni kwamba, kama kwenye kundi hilo wapo walioambukizwa na wasioanbukizwa, watapona kweli?
Comments