#BreakingNews
ZANZIBAR YATHIBITISHA MGONJWA MWINGINE WA CORONA
Zanzibar yathibitisha mgonjwa wa tatu wa COVID-19 na kufanya idadi ya waambukizwa Tanzania kufikia 14. Waziri wa Afya wa Zanzibar, Hamad Rashid Hamad amethibitisha.
Mgonjwa huyo mwanamke raia wa Tanzania mwenye umri wa miaka 57 alirejea nchini akitoka uingereza na shirika la ndege la Qatar na kuifanya Zanzibar kuwa na idadi ya wagonjwa watatu wenye mambukizi ya virusi vya corona.
#CoronaDuniani #CoronaKenya #CoronaUchumi #CoronaTanzania #CoronavirusPandemic
Comments