BREAKING NEWS: WAGONJWA WAPYA 84 WA CORONA TANZANIA
Waziri Ummy Mwalimu ametangaza wagonjwa wapya 84 wa Corona nchini Tanzania, jumla wamefikia wagonjwa 254.
DSM -33
Arusha -4
Mbeya -3
Kilimanjaro-3
Pwani -3
Tanga-3
Manyara-2
Tabora -1
Dodoma -3
Ruvuma -2
Moro- 2
Lindi-1
Mara-1
Mwanza -3
Mtwara -1
Kagera-1
Rukwa-2
Zanzibar-16
Comments