"Tumepata taarifa kuwa mmoja wetu amepata maambukizi ya #COVIDー19. Mgonjwa huyo anaendelea vizuri na serikali inaendelea kumuangalia na kumpatia matibabu stahiki, na maelezo ya mbunge huyo alisafiri kwenda Dar es Salaam siku za hivi karibuni."- Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson
Comments