DAR: MAKONDA ATOA WITO WA KUTOSAFIRI BILA SABABU MAALUMU KUEPUKA #CORONAVIRUS
> Amewaagiza Wenyeviti wa Mitaa kuzuia watu kukaa vijiweni ili kuepusha mirundikano na kuwachukulia hatua wale watakaokaidi maagizo hayo
> Asema hali ya maambukizi ndani ya Mkoa sio nzuri hivyo kila mtu ajilinde
#JF
Comments