IDADI YA WAGONJWA WA COVID-19 ZANZIBAR YAONGEZEKA
Wizara ya Afya Zanzibar imetoa taarifa ya kuongezeka kwa wagonjwa sita wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya Corona na kufanya idadi ya wagonjwa kufikia 18 visiwani humo. Katika wagonjwa hao, watano ni raia wa Tanzania na mmoja raia wa Misri.
Comments