Amesema,
“Ndugu zangu Watanzania, kutokana na ugonjwa wa Corona, nawaomba tutumie siku 3 za kuanzia tarehe 16 - 18 Aprili, 2020 {Ijumaa, Jumamosi na Jumapili} kumuomba Mwenyezi Mungu aliye muweza wa yote atuepushe na janga la ugonjwa huu, tusali kila mmoja kwa imani yake, atatusikia”-JPM
Comments