TANZANIA YATANGAZA WAGONJWA WAPYA 53 WA CORONA
Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania yaongezeka nakufikia 147, baada ya wengine wapya 53 kukutwa na virusi vya Corona.
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema wagonjwa hao wote ni watanzania ambapo 38 ni kutoka Dar es Salaam,10 Zanzibar, Kilimanjaro 1,Mwanza 1,Pwani 1,Lindi 1,na Kagera 1.
Comments