Tundu Lisu amtaka Rais kurudi Ikulu
'Mheshimiwa Rais Magufuli, Ikulu ya nchi yetu haiko Chato. Ikulu iko Dar es Salaam na Dodoma. Toka mafichoni Chato uje Ikulu kuongoza nchi dhidi ya corona. Ndivyo wanavyofanya viongozi wenzako dunia nzima. Usiwaachie Ummy na Majaliwa jukumu hilo. Wewe ndiye Rais, sio wao.'- Tundu Lissu @Tundulisu
Comments