Vifo kutokana na corona Marekani vimefikia 5149 mchana huu, kwa takwimu hizi Marekani imeendelea kuizidi China ambayo ina idadi ileile iliyoripotiwa jana ya vifo 3312, Marekani pia inaongoza kwa wagonjwa wa corona Duniani ambapo leo wamefikia 216,761, China ina wagonjwa 81,589.
•
Jumla ya vifo kutokana na corona Duniani kote mchana huu imefikia Watu 47,364 huku wagonjwa wakifikia 937,560 na waliopona ni 196,529.
Chanzo: #MillardAyoUPDATES
Comments