Wizara ya Afya Tanzania imesema vifo vya corona Tanzania vimeongezeka na kufikia vitano Kutoka vinne, pia kuna wagonjwa wapya 53 ambao wanafanya visa vya corona kufikia 147>>”DSM kuna wagonjwa wapya 38, Zanzibar (10), Mwanza (1),Kilimanjaro (1), Lindi (1),Pwani (1) na Kagera (1)”
•
“Hadi sasa tuna jumla ya Watu 147 waliopata maambukizi ya corona Tanzania, kati yao waliopona ni 11 na vifo 5, wagonjwa waliobaki (131) hali zao ni nzuri isipokuwa wanne ambao wanapatiwa matibabu ya wagonjwa mahututi kutokana na kusumbuliwa na matatizo mengine ya kiafya”- Waziri wa Afya Ummy Mwalimu
@ummymwalimu
#MillardAyoCORONATZ
Comments