Skip to main content

Wagonjwa wa corona waongezeka Tanzania

Wagonjwa wa corona waongezeka Tanzania

Waziri wa Afya Mhe.Ummy Mwalimu ametangaza ongezeko la wagonjwa wengine wapya 14 wa virusi vya Corona nchini.

Wagonjwa hao wote ni Watanzania, kati yao 13 wako Dar es Salaam na mmoja wa Arusha.

#ITVTanzania

Comments