Alikuwa ni Waziri Mkuu wa Ethiopia. Pamoja na kuwa na utawala wa kiimla lakini alifanya mambo mengi mazuri yaliyokubalika na nchi yake pamoja na kimataifa. Kifo chake kimeleta huzuni sana kwa taifa lake na Afrika kwa ujumla kwani alikuwa ni mtu mwenye ushirikiano mzuri na viongozi wenzake wa Afrika. Juu na chini ni wananchi wa Ethiopia wakiomboleza kifo cha waziri mkuu Meles Zenawi Huyu ni Hailemariam ambaye alikuwa ni makamu wake na sasa amechukua nafasi yake na alikuwa anategemea kuapishwa kuwa waziri mkuu wa Ethiopia.
Brings You Global News!