Huyu ndiye Elizabeth Michael aka Lulu ambaye inasemekana
alimanusura apewe sumu baada ya jamaa mmoja kuonekana
gerezani Segerea akimpelekea chakula huku akijfanya ni ndugu wa karibu.
Askari wa gerezani hapo walipomwona walimtilia shaka
na kuanza kumuhoji lakini alionekana kutokuwa na majibu sahihi
na kisha alitoweka. Gazeti la Ijumaa liliripoti siku ya tare 30 Julai 2012.
Hizi ni picha za Lulu akiwa kwenye mapozi mbalimbali katika life yake.
Msanii huyo hadi sasa bado yupo segerea kwani kesi yake haiishi kuahirishwa
kutokana na sababu mbalimbali.
Na pia hadi sasa bado umri wake unaleta utata kama ni mtoto,
yaani chini ya miaka 18, au mtu mzima,
yaani miaka 18 na nane na zaidi.
Comments