Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda, jana aliivunja kamati ya bunge ya Niashati na Madini baada ya kamati hiyo kutuhumiwa kuhusika na rushwa.
Wajumbe wa kamati hiyo wametuhumiwa na wabunge wenzao wiki hii kupokea rushwa toka kwa makampuni ya mafuta waliotaka wapewe tenda ya kusambaza mafuta kwa Independent Power Tanzania Limited (IPTL).
Makinda lifikia hatua ya kuvunja kamati hiyo baada ya mbunge wa Namtumbo Vita Kawawa kumwomba kufanya hivyo.
Kwa mujibu wa Makinda, kamati zote zinazotuhumiwa kwa mwenendo mbaya zitafanyiwa uchunguzi na zikikutwa na mmomonyoko wa maadili zitavunjwa na kisha kuhojiwa na tume ya maadili ya bunge chini ya mwenyekiti wake Bregadia Jenerali Mstaafu Hassan Ngwilizi.
Wajumbe wa kamati iliyovunjwa ni:-
Seleman Zedi (mwenyekiti), Diana Chilolo (mwenyekiti msaidizi), John Mnyika (Ubungo -Chadema), Yusuf Khamis (Nungwi- CUF), Mariam Kisangi (viti maalumu- CCM), Catherine Magige (viti maalumu- CCM), Abia Nyakabari (viti maalumu-CCM), Charles Mwijage (Muleba Kaskazini- CCM), naYusuf Nassir (Korogwe mjini- CCM).
Wengine ni:-
Christopher Ole-Sendeka (Simanjiro-CCM), Dr Festus Limbu (Magu mjini- CCM), Shaffin Sumar (Tabora Kaskazini-CCM), Lucy Mayenga (viti maalumu-CCM), Josephine Chagulla (viti maalumu- CCM), Mwanamrisho Abama (viti maalumu - Chadema), David Sillinde (), Suleiman Suleiman (Kishapu- CCM), Kisyeri Chambiri (Babati mjini-CCM), Munde Abudallah (viti maalumu - CCM), Sara Ally (viti maalumu-CCM), Vicky Kamata (viti maalumu- CCM), Mbarouk Ali (Wete-CUF), na Pamela Pallangyo (katibu).
Spika Anne Makinda

Comments