Kibarua cha mchezaji wa zamani wa Chelsea Didier Drogba huenda kikafika kikomo kwenye timu yake mpya ya Shanghai Shenhua baada ya kutokea kwa mgogoro wa mapato kwa viongozi wa timu hiyo.
Mwenyekiti wa timu hiyo Zhu Jun ametishia kuchomoa investment yake hivyo kuleta hisia kwamba Drogba na mwenzake Anelka Huenda wakauzwa.
Zhu amekuwa akilipa mishahara ya pauni 200,000 kwa wachezaji hao kwa wiki na sasa ametishia kulipa asilimia 28.5 tu kama sehemu ya mchango wake kwenye timu.
Zhu alitoa zaidi ya pauni milioni 60 kwenye timu kwa matarajio kwamba angepata faida ya asilimia 70, lakini jambo hilo limekuwa gumu sana na matokeo yake yupo tayari kuondoa investment yake kwenye timu hiyo.

Comments