Wana usalama wakijaribu kutuliza vurugu zilizoletwa na washabiki wa soka huko senegal baada ya timu yao kufungwa magoli 2 na kupoteza matumaini ya kufuzu kushiriki kombe la mataifa ya Afrika.
Baada ya kuona hakuna tena matumaini wakaanza kuwasha moto na kurushia vitu kadhaa uwanjani na kuleta fujo nyingine zisizo na msingi kutokana na hasira iliyowatawala.
wachezaji wa Ivory Coast ikabidi wasindikizwe na polisi ili wasije kudhuriwa na washabiki wenye hasira ya kufungwa wa Senegal.
Taarifa zilmesema kwamba watu 10 akiwemo waziri wa michezo wa Senegal Hadji Malick Gakou walijeruhiwa kwenye vurugu hizo.
Ingawaje mechi ilivunjika lakini inaonekana ushindi utatolewa kwa Ivory Coast.

Comments