Skip to main content

Alimanusura Stars Wamuue Tembo!!! Ivory Coast Watinga Kumi Bora kwa 4-2

                                    Kikosi cha Stars

Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars jana waliondoa matumaini ya kutinga Brazil kwa ajili ya fainali za kombe l dunia baada ya kukung'utwa magoli 4-2 katika mchezo mkali na wakuvutia uliochezwa jana kwenye uwanja wa Taifa Dar es salaam.

                    Mbwana Samata kulia, akiambaa na mpira

Stars waliokuwa wakishangiliwa kwa nguvu sana na umati wa mashabiki waliofurika uwanjani walipata bao katika dakika ya kwanza tu ya mchezo huo kupitia kwa mchezaji wao mahiri Amri Kiemba na kuwafanya Ivory Coast kuhaha sana na kufanikiwa kusawazisha goli hilo mnamo dakika ya 15 ya kipidi cha kwanza, na baadaye kuongeza bao la pili.

                          Ivory Coast wakishangilia goli

Katika dakika ya 38 Thomas Ulimwengu aliisawazishia Stars kwa kufunga bao la pili baada ya kupokea krosi mahiri toka kwa Shomari Kapombe. Na baadaye kabla ya kuisha kipindi cha kwanza Ivory Coast wakaandika bao la tatu kwa njia ya Penalty iliyopigwa na Yaya Toure anayekipiga MCFC. Hadi mapumziki Stars 2, Ivory Coast 3. Katika kipindi cha pili Ivory Coast wakaandika bao la nne na kuufanya mchezo uishe kwa 4-2.

   Yaya Toure, pamoja na umaarufu wake lakini alikuwa anakabika tu

Timu ya Stars walionekana kulishambulia kwa nguvu sana lango la wapinzani wao lakini hali hiyo haikibadilisha matokeo yoyote kwani kosakosa ndizo zilizotawala.

                            Gervinho, naye alikabika vizuri tu

Ni kitu gani unadhani kuiimarishwe ama kiongezwe ili Stars iweze kucheza kombe la dunia au lili la mataifa ya Afrika?



Comments

Popular posts from this blog

These are Said to Be the Best Goalkeepers in the World, Ranking from 1-25

25. Stephane Ruffier, Saint-Etienne Had Stephane Ruffier not sustained a groin injury in 2011, Monaco might never have been relegated to Ligue 2. But he did, and they were, and that summer the then-24-year-old goalkeeper joined Saint-Etienne, rebuffing Manchester City in the progress. This season he played all 38 Ligue 1 matches for Les Verts for a second season in succession, conceding just 32 goals as his side finished a surprising fifth in the standings and qualified for the Europa League. 24. Pepe Reina, Liverpool Only Joe Hart kept more Premier League clean sheets than Pepe Reina in 2012-13. In a season that saw Liverpool finish a disappointing seventh in the English top-flight, the 30-year-old managed to keep things respectable from a defensive standpoint, conceding only 34 goals and stopping 88 per cent of the shots he faced. To finish the season he conceded just a single goal in his last four matches. 23. Mariano Andujar, Catania Only Parma managed ...

The Happy Di Matteo..!

Roberto Di Matteo watched his attacking stars inspire a 5-4 extra-time victory over Manchester United and he preferred to savour a second night of high-scoring league cup thrills rather than focus on "the other stuff" in football. The Chelsea manager did not need to spell out what he meant, in the wake of the league fixture against United on Sunday, when his team's controversial 3-2 home defeat was followed by the allegation that the referee Mark Clattenburg had racially abused Mikel John Obi. There had also been spite in the stands. Di Matteo focused on the flair and spirit that his team had shown here, when they came from behind three times to force the extra period, with the substitute Eden Hazard scoring from the penalty spot with the very last kick of normal time. Hazard's quick feet and sumptuous reverse pass created what proved to be the decisive fifth goal late in extra-time for Ramires. "Over the last two days we have seen...

Read What Shakira Says. Via Yahoo!

Looking at  Shakira  and her fabulous figure you might be surprised to learn it was only three months ago that she gave birth to son Milan. But the “Hips Don’t Lie” singer reveals that dropping the pounds was no cake walk. While promoting “The Voice” in Pasadena, California, on Monday, the blond bombshell revealed, "[Losing baby weight] is the only thing that’s been a little stressful … I knew I had to come back here to do ‘The Voice’ two months after I had delivered a baby. I didn’t have my four months of maternity like every woman on Earth has. I’m not trying to complain, but it’s been a process full of challenges.” Photo source: omg INSIDER & Yahoo The 36-year-old mama added that the pressure to shed the baby weight at record speed is something that she feels the previous generations didn't face. She said, “I think that our mothers and grandmothers weren’t under the pressure women of today are after delivering a baby. My dad says there’s nothing better than meat...