Arsenal walikuwa wakichuana vikali sana na PSG kutaka kumsainisha Ozil lakini hadi sasa inasemekana tayari Arsenal wana uhakika wa kumnyakua mchezaji huyo kwani taratibu zote zinaelekea kumalizika ikiwemo kufanyika kwa vipimo mbalimbali vya afya yake na malipo ya dau la £44.2m. Wakati katika twitter David Ornstein wa BBC anasema:

Comments