Kocha mkuu wa Man City Manel Pellegrino ametoa kali kwa kurusha dongo kwa mbabe mwenzako Mourinho pale aliporopoka kuwa timu yake inacheza kama watoto wa shule... Duh madenti yaani kabisa. "Ilionekana kama tumecheza dakika tisini dhidi ya timu ndogo inayojaribu kukaba tu, kuweka wachezaji kumi mbele ya lango lao." Baadhi ya maneno ya kejeli yalomtoka Pellegrini.
Brings You Global News!