Skip to main content

RIPOTI YA FA COMMUNITY SHIELD.... MANCHESTER UNITED V LEICESTER CITY HII HAPA

Kuwasili






Ndani ya Dimba













Makocha

Baada ya mechi


  • 1. Jesse Lingard alipachika goli la kwanza dakika ya 32 kwa upande wa Manchester United.

  • 2. Jamie Vardy alisawazisha baada ya Marouane Fellaini kupiga pasi mbovu ya nyuma na kunaswa na mfungaji.  

  • 3. Baadaye Zlatan Ibrahimovic aliwarudisha Red Devils mbele baada ya kufunga kwa kichwa baada ya kuifumania krosi iliyochingwa na Antonio Valencia.  

  • 4. Manchester United walikuwa hivi: De Gea, Valencia, Bailly, Blind, Shaw (Rojo), Carrick (Herrera), Fellaini, Lingard (Mata) (Mkhitaryan), Ibrahimovic, Rooney (Schneiderlin), Martial (Rashford)

  • 5. Leicester City walikuwa hivi: Schmeichel, Simpson (Hernandez), Huth, Morgan (Ulloa), Fuchs (Schlupp), Mahrez, Drinkwater, King (Mendy), Albrighton (Gray), Okazaki (Musa), Vardy 

  • Hapa chini ni picha za matukio mbalimbali ya mechi hiyo ya jana ya FA Community Shield kati ya Manchester United na Leicester City.

  • Picture Sourses: Reuters, BPI/KleranMCManus, AP, 

  • Nini maoni yako?

  •  

    Comments

    Popular posts from this blog

    MAKUNDI CHAMPIONS LEAGUE NA SHIRIKISHO AFRIKA

    Yanga Sc kundi A Klabu Bingwa Afrika na Simba Sc kundi A Shirikisho Afrika. Hapo chini ndio mpangilio wa makundi na timu zake. Je, nani kati ya timu zetu za bongo atatoboa kwenda robo fainali? Weka maoni yako kwenye komenti tafadhali.

    Hawa Ndiyo Real Madrid Waliowafunga Man City Champions League Jana Usiku

    Man City wakiwa wanaongo za kwa 2-1 dhidi ya Real Madrid huku zikiwa zimebaki dakika si zaidi  ya tatu walionekana kama ingekuwa ni timu ya tatu ya Uingereza kuifunga Madrid kwenye uwanja wa Bernabeu. Lakini vijana hao wa Mancini badala ya kuinza kampeni yao kwa ushindi walijikuta wakiachwa nyuma na kuwaangalia Madrid wakiibuka na ushindi baada ya Karim Benzema kusawazisha na kisha Cristiano Ronaldo kufunga goli la tatu na la ushindi, goli lililomfanya bosi wao Jose Mourinho kuslide uwanjani akishangilia goli hilo na Ronaldo. This was the real happiness now from Ronaldo BBC football pundit Robbie Savage alikuwa uwanjani huku Bernabeu. (quoting from BBC SPORTS) "Maicon was not at the races at all in the first half at right-back. He was a passenger and it was like City were playing with 10 men. Cristiano Ronaldo kept coming inside him. "In the second-half, Vincent Kompany looked at what was happening and came across to that wing more. Ronaldo did not...