NEYMAR JR AMFAHAMISHA MESSI KWANZA KUHUSU KUHAMIA REAL MADRID
Baada ya kutoka Barcelona na kuhamia PSG, imejulikana kuwa Neymar JR hajawa mwenye furaha na yuko na mikakati ya kuhama mwisho wa msimu ili aende Real Madrid. Inasemekana kuwa lengo lake hilo ameamua kumjulisha Lionel Messi kwanza kabla haijawekwa wazi.
Brings You Global News!
Comments