Arsene Wenger amekabidhiwa zawadi na Sir Alex Ferguson ya end of season silverware pale Old Trafford.
Kabla mechi haijaanza Arsenal vs Man United, trip ya mwisho ya Wenger ya Old Trafford akiwa meneja wa Arsenal, Ferguson alimkaribisha na kumkumbatia, akimkabidhi zawadi kwa niaba ya Man United wakimshukuru na kumpongeza kwa miaka yake 22 katika football ya Uingereza. Hayo yalishuhudiwa na meneja wa sasa wa United José Mourinho akiiwakilisha United.
Comments