Brings You Global News!
Brings You Global News!
Magoli yaliyofungwa na Marcelo pamoja na Assensio katika mchezo uliochezwa usiku wa Jumatano wa nusu fainali ya UCL tayari yametoa faida kwa Real Madrid.
Wanapata advantage ya magoli mawili ya ugenini na kuwafanya waichungulie fainali ya UCL.
Comments