Brings You Global News!
Brings You Global News!
Wakati Liverpool wakichezea kichapo cha 2-0, Spurs wafufua matumaini ya kuendelea na UCL na Barcelona wakibanwa mbavu na Inter, Dortmund nao walazwa ugenini na Monaco wakishangazwa mbele ya Club Brugge. Hatari tupu!
Comments