Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli anatangaza kifo cha Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Balozi Dkt Augustine Philip Mahiga (Mbunge) kilichotokea leo Alfajiri tarehe 01 Mei, 2020..
Mhe.Balozi Mahiga ameugua ghafla akiwa nyumbani kwake.
Comments