Skip to main content

Posts

PICHA HIZI ZINADHIHIRISHA KUWA WANA AFRIKA YA KUSINI WAMEPOTEZA MATUMAINI JUU YA MZEE MANDELA

Hali Ya Nelson Mandela Yaleta Utata Mtupu

Inaonekana watu wameanza kuonea huruma mpiganaji wao Nelson Mandela maarufu kama Madiba baada ya kuendelea kuugua mapafu kwa muda mrefu. Baadhi ya wananchi katika mitaa mbalimbali ya Afrika ya Kusini wameanza kusikika wakitamka maneno ya kuonesha kwamba wanamuaga Raisi Huyo wa kwanza mweusi na mpiganaji dhidi ya ubaguzi wa rangi nchini humo. "Mandela ni mzee sana na kwa umri wake, maisha siyo mazuri. Namuomba Mungu amchukue sasa. Ni bora aende. Ni bora akapumzike" Alisikika Ida Mashego, mfanya usafi wa ofisini mwenye umri wa miaka kama 60 hivi huko Johannesburg.   Mtu huyu ambaye ni Artist akichora picha ya  mzee Mandela nje tu ya hospitali  mjini Pretoria alimolazwa Raisi huyo wa  Kwanza mweusi wa Afrika ya Kusini   "Sitadanganya, hali siyo nzuri. Lakini kama nisemavyo, tukiongea naye, anajibu na kujaribu kufungua macho. Bado yupo. Anaweza akawa anaaga lakini bado yupo." Alisema binti yake mkubwa  mzee Mandela, Makaziwe, baada ya ku...

Haya Ndiyo Aliyoyasema Shinji Kagawa!

"I am not happy with my performance for the team at all. I didn't score that much and I also had my (knee) injury. Despite that, it was great we won the league, but I just don't feel that I achieved everything that I wanted."  Shinji Kagawa "Sifurahii kiwango changu kwenye timu yangu kabisa. Sikufunga magoli mengi na pia niliumizwa goti langu. Walakini ilikkuwa ni vizuri tulishinda ligi, lakini sijisikii kwamba nilifanikisha kila kitu nilichohitaji." Alisema Kagawa.  Source: b/r

CHADEMA Wafunguka Tena. Safari hii ni Kuhusu Ugaidi....

Source: chadematv CHADEMA yabaini mbinu ya kuwabambikia kesi ya Kigaidi Dk Slaa, Mbowe Mnyika na Lissu   TUTAPIGANA VITA YA  KISHERIA , TUKIONGOZWA NA JOPO LA MAWAKILI Wamesema kama walivyoweza kuishinda serikali, CCM, na jeshi la polisi walipotaka kumbambikizia kesi ya ugaidi Rwakatale sasa serikali wanafikiri wanaweza kupenya mlango wa nyuma kwa kutumia tukio la tindikali kupandikiza taswira ya ugaidi dhidi ya Chadema. Kwa hiyo uzito ule ule walioutoa kwenye kesi ya Rwakatale ndiyo watakaoutoa kwenye kesi hii.   Wamesema kwamba katika hatua ya kwanza jopo la mawakili watatu walitrajiwa kusafiri kwenda Igunga na Tabora kwa ajili ya kesi, Jopo ambalo litaongozwa na Profesa Abdallah Safari, wakili Peter Kibatala na wakili kutoka Mwanza Gaspar Mwadyela. For more updates, visit cadematv on youtube.

Nelson Mandela in Critical Condition. As Written by The Telegraph

Nelson Mandela 'critical' in South Africa hospital Nelson Mandela’s condition described as critical for the first time, two weeks after he was admitted to hospital with a lung infection. President Jacob Zuma visited Mr  Mandela’s  doctors and wife Graca Machel, and said that the former president’s health had deteriorated over the past 24 hours. He said his doctors were still “doing everything possible” to try to improve his situation. The announcement late on Sunday night was the first time the 94-year-old former president’s condition has been described so seriously since he was admitted to hospital on June 8 for a recurring lung infection. His condition had previously been described as “serious but stable”. Comments last week from Mandela family members and his presidential successor, Thabo Mbeki, had suggested Mr Mandela’s health was improving. However, the announcement of the downturn sparked deep concern among South Africans that the end could be...

Yalojiri Kwenye Mechi Kali ya Japan Dhidi ya Italy

Italy 4-3 Japan: Giovinco settles all-time  classic Confederations Cup encounter An incredible clash at the Itaipava Arena Pernambuco saw Italy book their place in the Confederations Cup semi-finals with a 4-3 defeat of Japan, who were eliminated from the tournament in heartbreaking fashion. Needing a draw to stand a chance of making the last four, Alberto Zaccheroni's men got off to an incredible start, racing into a two-goal lead through Keisuke Honda's penalty and Shinji Kagawa's neat finish. But a spectacular 11-minute turnaround either side of half-time saw Italy score thrice to retake the lead, through Daniele De Rossi's header, Atsuto Uchida's own goal and Mario Balotelli's spot kick. Shinji Okazaki then drew Japan level with 21 minutes remaining, but despite a late rally by the Samurai Blue, they were finished for good with four minutes remaining by Sebastian Giovinco's strike, as Italy join Brazil as Group A's representatives in the ...

Freeman Mbowe na Mwenzake Godbless Lema bado Wanasakwa na Jeshi la Polisi Jijini Arusha

Jeshi la polisi nchini limesema bado linawasaka mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo "CHADEMA" Freeman Mbowe na Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kufuatia vurugu zilizotokea juzi na madai yao kuwa wanao ushahidi wa kutosha kuhusu polisi kuhusika na kurusha bomu katika mkutano wa Chadema. Mkuu wa Operesheni ya jeshi na Mafunzo Kamishina Paul Chagonja alisema jeshi la polisi bado linawata Lema na Mbowe wajitokeze hadharani na kutoa ushahidi kwamba polisi walihusika katika kurusha bomu katika mkutano wa Chadema na kusababisha vifo vya watu watatu na jana aliongezeka mwengine na kufikia wanne. Kamishina Chagonja alisema pia kwa sasa jiji la Arusha ni shwari na watu wanaendelea na shughuli zao bila wasi wasi na kuongeza kuwa endapo Lema na Mbowe hawaliamini jeshi la polisi katika kuwasilisha ushahidi wao, kuna mamlaka nyingi, kuna walinzi wa amani kila mahali, waende hata kwa shehe au hata kwa padre, na kufikia hatua hadi ya kusema kama wana wasi wasi basi waende...