Skip to main content

Posts

TANESCO wanena juu ya kukatika kwa umeme nchini

Kama lilivyoandika #MchambuziBlog

Neymar Jr na Cavani watibuana tena

Kama lilivyoandika #MchambuziBlog

Mange Kimambi amchana Live Wema Sepetu kwa kurudi CCM, soma alichomwambia

BREAKING NEWS: WEMA SEPETU ARUDI NYUMBANI CCM

Mcheza filamu maarufu wa Bongo Movie Wema Sepetu leo ametangaza rasmi kuhama CHADEMA na kurudi CCM.  Amedai kwamba hawezi kukaa kwenye nyumba inayomnyima amani. Aliyaandika hayo leo kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Droo ya makundi ya FIFA World Cup Final 2018

Paul Pogba amwambia Mourinho: Sitaki kupumzishwa!

Kiungo wa Manchester United Paul Labile Pogba amemsihi meneja wake Jose Mourinho asimpumzishe kwa sababu ya kuhifia kwamba bado hayuko fit kimchezo ama kuhofia kwamba atamchosha. Pogba ambaye ametoka kupata nafuu ama kupona kutokana na majeraha aliyoyapata zaidi ya miezi miwili aliliambia gazeti la Manchester Evening News kuwa kuelekea mechi na Arsenal ni lazima apate nafasi ya kucheza muda wa kutosha kwani amekuwa mwanasoka kwa sababu hiyo na pia anafurahia kucheza.  Mourinho hatakuwa na budi kumchezesha Pogba muda wa kutosha ukizingatia kutokuwa fit kwa Nemanja Matic na Fellaini. Na Pogba ambaye ameahacheza dakika 90 katika mechi 2 amekuwa mhimili mkubwa kwenye kikosi cha United katika eneo lake la kiungo! Akuleta ari kubwa ya mchezo kwa wenzake. Kikosi cha Manchester United kitasafiri kwenye Emirates kukwaana na Arsenal siku ya Jumamosi katika kampeni za kuwania ubingwa wa Ligi ya Uingereza. Kikosi hicho kilicho chini ya Jose Mourinho kipo Katika nafasi ya pili nyuma ya Manch...

Lowassa awaambia wananchi kuwa hana haja wala ndoto za kurudi CCM

Akiwa katika kampeni za Kumnadi mgombea wa udiwani kata ya Makabi wilayani Meru,  waziri mstaafu na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA,  Edward Lowassa alijibu hija zilizokuwa zikienea kwamba ana mpango wa kurudi CCM.  Amesema kuwa taarifa zozote zinazodai hivyo ni za uzushi na zina lengo la kupotosha. Muungwana Blog iliandika kuwa kuna habari zilizoenea kuwa Mrisho Gambo amepokea ujumbe toka kwa mzee wa Monduli uliomtaka kuzungumza na Rais na kama atakubali basi mzee huyo atarejea nyumbani.  Lakini mzee Lowassa amezikana habari hizo na kusema kuwa ni upotoshaji na kwamba yeye hana nia wala ndoto za kurejea CCM.