Skip to main content

Posts

Showing posts from June, 2018

2018 FIFA WORLD CUP RUSSIA. BELGIUM 5, TUNISIA 2. LUKAKU AMFIKIA RONALDO KWA IDADI YA MAGOLI

2018 FIFA WORLD CUP RUSSIA. BELGIUM 5, TUNISIA 2 Romelu Lukaku, Eden Hazard and Batshuay riot against Tunisia as Belgium qualify for World Cup knock-out stages. READ WHAT BELGIUM COACH, ROBERTO MARTINEZ SAID AFTER THE MATCH  "It's not easy to score the amount of goals we have scored, to fight so much for each other. And on top of it we have the talent and the quality. Tunisia made it an open game, and it made a game that had a lot of action in both boxes. We had to suffer in spells, but when we were in full flow we were sharp. Qualification in two games: you cannot ask for more from these players."

2018 FIFA WORLD CUP RUSSIA. FT. NIGERIA 2, ICELAND 0

2018 FIFA WORLD CUP RUSSIA. FT. NIGERIA 2, ICELAND 0 Ahmed Musa and the Super Eagles exposed Iceland's players in the second half, catching them creeping up on offense and then unleashing quick counterattacks. Iceland, meanwhile, didnt seem to have much strategy apart from set pieces, and those were in the short supply over the final 45 minutes. Gylfi Sigurdson's ham-footed penalty shot didnt help, either. The result not only gives Nigeria a crucial three points; it also gives new life to Argentina. The two teams meet on Tuesday. Iceland will need to beat Croatia to have any hope.

2018 FIFA WORLD CUP RUSSIA. FT: BRAZIL 2, COSTA RICA 0

2018 FIFA WORLD CUP RUSSIA: FT: BRAZIL 2, COSTA RICA 0 Brazil saved the game, and may be its World Cup, with a stoppage time goal over Costa Rica on Friday in St. Petersburg. After dominating the action for 90 minutes, but finding frustration from Costa Rica's dogged defense and keeper Keylor Navas. Brazil finally broke through on a goal by Philippe Coutinho in the 91st minute. Neymar added another goal in 97th minute for a 2-0 win.

FIFA WORLD CUP 2018 GROUP D: ARGENTINA WACHARAZWA 3 MZUKA NA CROATIA NA KULIA UWANJANI. SASA WATEGEMEA KUPENYA TUNDU LA SINDANO ILI KUSONGA MBELE

FIFA WORLD CUP 2018 GROUP D: ARGENTINA WACHARAZWA 3 MZUKA NA CROATIA NA KULIA UWANJANI. SASA WATEGEMA KUPENYA TUNDU LA SINDANO ILI KUSONGA MBELE >Argentina Waadhibiwa 3-0 na Croatia kwenye mechi ya kundi D world cup 2018 >Ni kichapo kikali kwa Argentina katika hatua ya makundi >Croatia wasonga mbele kwa mara ya kwanza tangu m2aka 1998 Miaka takribani minne wakati Argentina walipopoteza dhidi ya Germany na Germany kutwaa ubingwa wa dunia, maelfu ya Wargentina walivunjika moyo. Sasa kwa kilichotokea kwenye mechi ya jana nadhani kinachoma moto kwenye makovu ya wargentina tena. Argentina yenye wachezaji wengi wazurina maarufu akiwemo Lionel Messi ilitazamiwa kufanya makubwa hasa kwenye mechi yake ya pili ya hatua ya makundi lakini mambo yakageuka na kuwa vilio kutawala uwanjani utadhani kuna watoto au wanawake wanalia. Nafasi nyingi walizozikosa katika mashambulizi yao zikigeuka kuwa neema kwa Croatia ambao hawakufanya ajizi kwenye nafasi zao na kuanzia kioindi cha pili ndipo waka...

FIFA WC 2018 RUSSIA. PORTUGAL 1-0 MOROCCO

FIFA WC 2018 Russia. Portugal 1-0 Morroco. -Ronaldo scores again.  -Sasa amefikisha magoli 4.  -Ni ushindi wa kwanza kwa Portugal baada ya kutoka sare ya 3-3 na Spain. -Ronaldo awaomba wenzake kuongeza bidii ba kiwango cha soka. -Morroco watawala mchezo lakini wakosa bahati ya magoli.

PAUL POGBA AITA KINYOZI TOKA LONDON HADI RUSSIA ILI AMNYOE NYWELE

Paul Pogba Amwita Kinyozi Kutoka London Hadi Urusi Akamnyoe Nywele. Akina N'golo Kante, Benjamin Mendy, na Kylian Mbappe nao wamuungisha.

FT: Colombia 1-2 Japan

World cup 2018 Russia: Japan Yawashangaza Colombia. FT: Japan 2-1 -Japan wamekuwa wa kwanza kwa Assia kushinda taifa toka Amerika ya Kusini kwenye michuano ya kombe la dunia.  -Hili ni kombe la dunia la kwanza ambapo mataifa manne toka Amerika ya kusini yameshindwa kushinda mechi zao za ufunguzi tangu mwaka 1974. -Colombia wakiwa pungufu wakajikuta wanakula kichapo toma kwa Wajapan na kuwafanya wasiamini kilichotokea.

MISRI 1-3 RUSSIA. ANOTHER DISAPPOINTMENT KWA WAAFRIKA

Kombe la Dunia 2018. Misri Hoi kwa Warusi Mambo Ovyo kwa Misri. Ussia 3-1 Misri. Mo Salah bado dhaifu japo kapambana. -Hii ni mara ya kwanza kwa Urusi kushinda mechi mbili mfululizo kwenye ufunguzi wa mashindano ya kombe la dunia tangu mwaka 1966 wakati huo ikiwa Soviet Union. -Sasa Urusi wamefikisha magoli 8 katika mechi mbili na wakiwa vinara na pointi zao 6 katika kundi lao.

KOMBE LA DUNIA 2018. POLAND 1-2 SENEGAL. HATIMAYE WAAFRIKA WASHEREKEA USHINDI LEO

KOMBE LA DUNIA 2018. MAMBO YAMENOGA KWA SENEGAL World Cup 2018. Poland 1-2 Senegal. Hatimaye Taifa la Senegal lawatoa kimasomaso waafrika kwa ushundi leo. Huku Robert Lewandowski akikutana uso kwa uso na Sadio Mane. Idrissa Gueye anaachia shuti linalomgonga beki wa Poland na mpira  kuzama nyavuni huku kipa asijue la kufanya. M'baye Niang anainasa pasi ya nyuma ya beki wa Poland na kumtoka kipa na kuusindikiza mpira nyavuni kiulani na kuandika bao la 2 kwa Senegal. Grzegorz anaunganisha krosi kwa kichwa na kuipatia Poland bao la kufutia machozi.